Maagizo
- Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
- Kisha chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia.
- Kila insha isipungue maneno 400.
- Kila insha ina alama 20.
- Kila insha lazima iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
- Wewe ni katibu wa vijana katika kijii chako. Andika kumbukumbu za mkutano wenu uliojadili matatizo yanayo wakumba vijana.
- Muungano wa Afrika Mashariki una manufaa mengi. Fafanua.
- Pilipili usioila yakuashiani?
- ………………….. hili lilikuwa jambo la ajabu ambalo sikuwa nimelishuhudia maishani mwangu.
MARKING SCHEME
-
- Kichwa kiwe na tarehe, mahali na wakati panapofanyika mkutano.
- Waliohudhuria.
- Waliokosa kuhudhuria kwa udhuru.
- Waliokosa bila udhuru.
- Ajenda.
- Kusoma na kuthibitisha kwa kumbukumbu ya kwanza
- Shughuli nyinginezo ziwe kumbukumbu ya mwisho.
- Ajenda za mkutano wa vijana zijadili:
- Siasa
- Dawa za kulevya
- Ukosefu wa kazi
- Usalama wa vijana vijijini
- Manufaa ya muungano wa Afrika Mashariki.
- Kupanua Soko la bidhaa
- Kuimarisha Mawasiliano
- Umoja wa jamii
- Kuimarisha usalama wa mataifa
- Kuimarisha utaifa
- Utangamano wa michezo.
- Kudumisha uhusiano wa kidIplomasia.
- Kuimarisha uchumi miongoni mwa mataifa.
- Ni swali la methali
Abainishe maana ya methali kisha atungie kisa kinachothibitisha methali hiyo.- Maana: Jambo lisilokuhusu linakukera kivipi au kwa njia gani?
- Ni vyema kutoingilia mambo yasiotuhusu na yanayoweza kuleta matatizo kama vile ugomvi au vita kati ya watu wawili.
- Akitoa kisa kisichooana na methali atakuwa amejitungia swali.
-
- Kisa lazima kimalizike kwa maneno haya na kisiongezwe chochote.
- Kisa kieleze jambo kuu la ajabu. Liwe zuri kupita kiasi au baya asana.
- Kisa kioane barabara na dhamiri na maudhui yaliyokusudiwa
- Kisa kiweze kumwacha msemaji na mvuto pamoja na taharuki ili kutosheleza kimalizio.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Pavement Pre-Mock Exams 2021/2022.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students