Uundaji wa maneno - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes

Share via Whatsapp


Nomino Kutokana na Mzizi wa Kitenzi

 • danganya-kudanganya, mdanganyifu,udanganyifu
 • soma-kusoma, masomo,msomi,usomaji
 • unda-kuunda, muundaji,uundaji,muundo
 • funika-kufunika, kifuniko, mfunikaji, ufunikaji


Kitenzi Kutokana na Mzizi wa Nomino

 • mlo-kula
 • mlevi-kulewa, kulevuka
 • mwimbaji-kuimba
 • fikra-kufikiri
 • malezi-kulea
 • fumbo-kufumba, kufumbua


Nomino Kutokana na Mzizi wa Nomino

 • mwimbaji-kuimba, wimbo, uimbaji, kiimbo
 • mchezo-kucheza, uchezaji, mchezaji
 • ulaghai-kulaghai, mlaghai
 • hesabu-kuhesabu,uhesabu
 • mdhalimu- kudhulumu, dhuluma, udhalimu


Nomino Kutokana na Mzizi wa Kivumishi

 • -refu-mrefu, urefu, urefushaji
 • - baya-mbaya, ubaya
 • -zuri-mzuri, uzuri
 • -kali-mkali, ukali
 • -eupe-mweupe,weupe


Kivumishi Kutokana na Mzizi wa Nomino

 • ujinga -jinga
 • werevu -erevu
 • mzuri -zuri
 • mpumbavu -pumbavu
 • mpyoro -pyoro

 Kitenzi Kutokana na Mzizi wa Kivumishi

 • haramu-kuharamisha, kuharamika
 • halali-kuhalalisha, kuhalalika
 • -fupi-kufupisha, kufupika
 • bora-kuboresha, kuboreka
  -refu-kurefusha, kurefuka
 • sahihi-kusahihisha, kusahihika
 • -sikivu-kusikia
 • -danganyifu-kudanganya


Kivumishi Kutokana na Mzizi wa Kitenzi

 • dunisha - duni
 • Haramisha - haramu
 • fupisha -fupi
 • sahilisha -sahili
 • tukuka -tukufu
 • fahamu -fahamivu
 • teua -teule
 • nyamaza -nyamavu
 • ongoka -ongofu
 • sahihisha -sahihi
 • danganya -danganyifu


Kitenzi Kutokana na Kielezi

 • haraka-harakisha
 • zaidi-zidisha
 • bidii-bidiisha
 • hima-himiza
Join our whatsapp group for latest updates

Download Uundaji wa maneno - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest