Bembea ya Maisha Summary Notes
Pata mwongozo wa riwaya ya Bembea ya Maisha Summary Notes iliyoandikwa na Dr Timothy Arege.
Mwongozo huu una sehemu zifuatazo:
- Utangulizi
- Jalada la Bembea ya Maisha / Ufaafu wa anwani Bembea ya Maisha notes / Dhamira ya Mwandishi Bembea ya Maisha
- Muhtasari wa Sura / Mtiririko wa Maonyesho
- Wahusika na sifa za wahusika katika Bembea ya Maisha
- Dhamira na Maudhui Katika Bembea ya Maisha
- Fani / Mbinu za uandishi Katika Bembea ya Maisha
- Mbinu za Lugha Katika Bembea ya Maisha
- Mbinu za kishairi Katika Bembea ya Maisha
- Mbinu za Kimuundo Katika Bembea ya Maisha
Pata mwongozo wote ama sehemu unayotaka kama PDF hapa!!
WhatsApp ama piga numbari hii uweze kupata kitabu hiki leo +254 703 165 909
Kuhusu kitabu
Bembea ya Maisha ni kitabu kinachotahiniwa katika shule za upili chini ya karatasi ya Kiswahili 3- 102/3.
Pia ni kitabu kilichowekwa cha lazima kwa shule za Sekondari za Kenya chini ya Kiswahili Fasihi.
Uchambuzi wa Bembea ya Maisha
Kitabu hiki kinazungumzia jinsi maisha yanavyoendelea kusonga mbele na kurudi nyuma kama bembea.
Kwa wale wasiofahamu, tafsiri ya neno bembea kwa kingereza ni 'swing'
Unakumbuka, kile kichezeo ulichozoea kukalia ulipokuwa mdogo na kuomba familia yako au rafiki akusukume ili uweze kuruka juu?
Ulipokuwa juu ulihisi kama unaweza kugusa anga.
Ulipokuwa nyuma ulilazimika kusukumwa mbele.
Hiyo ni angalau hadi ujifunze kujisukuma mbele kwa miguu yako unapokua.
Ahh, sasa umeifahamu?
Kama bado jua kuwa 'bembea' ni kifaa kama vile ubao, kamba au chuma inayoning'inia baina ya chuma au mti ambacho hutumiwa kuchezea aghalabu na watoto.
Kupitia wahusika mbalimbali kama Sara, Yona, Bunju, Neema na wengineo, mwandishi anatuonyesha na kutueleza jinsi wakati mwingine maisha yanavyoweza kujaa furaha na mara nyingine kujaa matatizo yanayosababisha maumivu na huzuni.
Kimsingi, maisha yana panda shuka zake. Wakati mwingine tuko juu na tunahisi kama tunaweza kugusa anga na wakati mwingine tuko chini.
Direct translation -> Basically, life has ups and downs. Sometimes we are up and we feel like we can touch the sky and other times we are back (down).
Mwandishi kwa kutumia sitiari ya bembea pia anatuambia jinsi wakati mwingine kama tu wakati wa kubembea tunahitaji msaada.
Msaada kwa namna ya mtu wa kutusukuma mbele ili bembea letu lisikae palepale.
Baada ya yote, maisha hubadilika.
Sehemu za Mwongozo wa Riwaya – Bembea ya Maisha
Hapa unapewa na kuelezewa vigezo muhimu katika uchambuzi wa tamthilia ya Bembea ya Maisha.
Vigezo kama vile;
- Dhamira/ Lengo/ Mintarafu/ Kusudi
- Maudhui
- Falsafa
- Muwala
|
- Usuli
- Mandhari
- Wahusika- Aina za Wahusika Katika Fasihi
|
- Mukhtasari
- Sehemu I
- Onyesho I
- Onyesho II
- Onyesho III
|
- Sehemu II
- Onyesho I
- Onyesho II
- Onyesho III
- Onyesho IV
|
- Sehemu III
- Onyesho I
- Onyesho II
- Onyesho III
- Onyesho IV
|
- Sehemu IV
- Onyesho I
- Onyesho II
- Onyesho III
- Msuko
|
Muhtasari
Tamthilia ya Bembea ya Maisha sehemu nne.
Pata muhtasari wa sura na maswali mbalimbali ya utabiri kuhusu riwaya ya Bembea ya Maisha hapa.
Kama bonasi; kila muhtasari wa tamthilia ya Bembea la Maisha umetathminiwa, na muhtasari wa tathmini hiyo umetolewa katika Mwongozo wa Easy Elimu.
Dhamira ni lengo la mwandishi.
Dhamira huelezwa kama lengo au shabaha ya mwandishi wa kazi ya fasihi.
Mwandishi wa tamthilia ya Bembea ya Maisha anadhamiria:
- Kuonyesha masaibu ya pombe katika maisha ya familia
- Kuonyesha kuwa ili kujenga jamii mpya, mapinduzi ni muhimu na ni lazima wanajamii wajitolee kupinga tamaduni zisizo na umuhimu wowote katika maisha ya wanajamii
- Kutuonyesha kuwa watoto wa jinsia zote ni sawa na hawafai
- Kutenganishwa kwa mila na tamaduni za jamii
- Kutuonyesha kuwa hakuna lililo na mwanzo lisilokuwa na mwisho.
- Nafasi ya mwanamke
- Majukumu ya wanaume kwa jamii
- Umaskini
- Mabadiliko
- Ndoa
|
- Ulevi
- Teknolojia na Maendeleo
- Mawaidha au Wosia
- Malezi
- Taasubi ya Kiume
- Utamaduni
|
- Elimu
- Migogoro
- Maudhui ya kazi
- Maudhui ya maradhi
- Nafasi ya watoto katika ndoa
- Changamoto ya maisha ya kisasa
|
- Yona
- Sara
- Neema
- Asna
- Bunju
|
|
- Dina
- Salome
- Mina
- Kalasinga
|
Mbinu za Lugha Katika Bembea ya Maisha |
Mbinu za kishairi Katika Bembea ya Maisha |
Mbinu za Kimuundo Katika Bembea ya Maisha |
- Taswira
- Misemo
- Nahau
- Mbinu ya majazi
- Lakabu
- Tasfida
- Kuchanganya ndimi
- Kubadili msimbo
- Maswali ya balagha
|
- Utohozi
- Tashbihi
- Methali
- Sitiari
- Tashihisi
- Chuku
- Taswira
- Kuhamisha ndimi
- Jazanda
|
- Takriri
- Ishara na taashira
- Tabaini
- Tanakuzi
|
- Uzungumzi nafsia
- Usemaji-kando
- Mbinu rejeshi
- Sadfa
- Taharuki
- Kinaya
|
Maswali ambayo unaweza kujibu kwa kutumia mwongozo wa Bembe ya Maisha uliotayarishwa na Easy Elimu:
- Nafasi ya mwanamke katika Bembea ya Maisha
- Eleza ufaafu wa anwani Bembea ya Maisha
- Sifa za Yona katika Bembea ya Maisha
- Sifa za Neema katika Bembea ya Maisha
- Sifa za sara katika Bembea ya Maisha
- Sifa za dina katika Bembea ya Maisha
- Kinaya katika Bembea ya Maisha
Haya ni baadhi tu ya maswali ya Bembea ya Maisha ambayo unaweza kupata majibu yake
Hitimisho
Mwongozo huu unatoa uchambuzi kamili wa riwaya ya Bembea ya Maisha ambayo hakika itawasaidia wanafunzi kupata alama nzuri linapokuja suala la maswali ya mitihani inayohusu riwaya hiyo.
Zaidi ya hayo, mwongozo unatoa maswali na majibu kuhusu vipengele vyote vya riwaya kama inavyoonyeshwa hapo juu na inaweza kupakuliwa katika muundo wa PDF kwenye tovuti yetu ya easyelimu.com na Programu ya Masomo ya EasyElimu (EasyElimu Study App).
Ipate sasa!
YJ_CAT_READMORE