MAAGIZO:
- Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima
- Kisha chagua insha moja nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia.
- Insha yako isipungue maneno 400
- Kila insha ina alama 20.
MASWALI
- Wewe ni Mkurugenzi wa tume ya kupambana na ufisadi nchini. Andika barua pepe kwa watumishi wote wa umma ukiwaeleza athari za ufisadi kwa taifa.
- Teknolojia ya kisasa ina athari mbaya katika maisha ya vijana. Jadili.
- Andika insha itakayodhirisha maana ya methali ifuatayo: Mzaha mzaha hutumbuka usaha.
- Andika kisa kitakachomalizika kwa … hivyo ndivyo ukurasa mpya katika kitabu cha maisha yangu ulivyofunguka.
MWONGOZO
-
- Siku, tarehe na saa.
- KUHUSU:
- KUTOKA:
- KWA:
- NAKALA KWA:
- Anwani za barua pepe za mwandishi, na walengwa zionyeshwe
- Mtajo
- Mwili
- Hitimisho la barua rasmi
-
- ATHARI MBAYA
- Kupotoka kimaadili –kujiingiza katika ngono
- Kuharibu utamaduni wa kiafrika
- Kuwaingiza kwa vikundi haramu
- Kupata mifano mibaya
- Uraibu wa pombe ,dawa za kulevya
- FAIDA
- Wanaweza kujifunza nayo
- Wanaweza kuelewa ulimwengu vizuri
- Wanaweza kufanyia kazi mbalimbali vizuri
- ATHARI MBAYA
-
- Hii ni insha ya methali.
Mwanafunzi atunge kisa kitakachodhihirisha maana na matumizi ya methali hii. - Methali hii inamaanisha mzaha mwingi huishia kuleta hasara.
- Mwanafunzi aonyeshe sehemu zote mbili za methali.
Asipozingatia hayo atunzwe 1/10 .
- Hii ni insha ya methali.
- Insha iwe na kichwa mwafaka.
- Atunzwe nafsi ya kwanza.
- Lazima insha imalizike kwa maneno aliyopewa.
- Asipomalizia kwa maneno hayo amejitungia swali atuzwe 02/20.
- kisa kirejelee jinsi maisha yake yalivyo badilika
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Murang'a County Mocks 2020/2021.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students