Kenya Certificate of Secondary Education
102/1- KISWAHILI -Karatasi ya 1
(INSHA)
2 ½ hours
Maagizo
- Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
- Kila insha ina alama 20.
- Chagua insha nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizosalia.
- Kila insha isipungue maneno 400.
- Kila insha iandikwe kwa lugha ya Kiswahili.
- Insha zote sharti ziandikwa katika nafasi ulizoachiwa katika karatasi za majibu.
Maswali
- Lazima
Wewe ni mhariri wa Gazeti la Mwangaza, andika tahariri ukitetea kauli kwamba kuzorota kwa maadili shuleni kunachangiwa na wanafunzi wenyewe. - Kenya ni mojawapo ya mataifa yanayokuwa na yenye uwezo mkubwa wa kimaendeleo .Eleza malengo ya ‘Ruwaza ya mwaka 2030’
- Andika kisa kitakachodhihirisha maana ya methali;
Aliyeanguka mwanguko wa mende hana bao. - Tunga kisa kitakachomalizika kwa kauli;
… nilisimama kwa miguu yangu miwili lakini nilihisi ni heri nife.Nilikuwa nimeacha mbachao kwa msala upitao.
Download Kiswahili Paper 1 Questions with No Answers - Maseno Mock Exams 2020/2021.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students