KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
MUDA: SAA 2
Maagizo
- Jibu maswali mawili.
- Swali la kwanza ni la lazima.
- Chagua swali la pili kwa yale matatu yaliyosalia iii.
- Kila swali lina alama ishirini
- Kila jibu lifikishe maneno mia nne
- Andika barua ya kuomba kazi ya udaktari katika hospitali ya Maji Mazuri. Barua yako ipitie kwa mkuu wa kituo cha utabibu katika chuo ulichosomea.
- Kama Gavana wa Kaunti yako kuna mengi ambayo unaweza kufanya ili kuinua kilimo katika kaunti yako. Thibitisha.
- Andika kisa kitakachomalizika hivi "Nilipoangalia umati uliohudhuria sherehe hii nilimshukuru Mungu".
- Andika kisa kitakachothibitisha ukweli wa methali kuwa, Mti mkuu ukigwa wana wa ndege huyumba.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Mang'u Mock 2020 Exam.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students