KISWAHILI Marking Scheme - Form 1 End of Term 1 2019 Examinations

Share via Whatsapp
 1. UFAHAMU
  1. Neno hili linatokana na kuunganishwa kwa maneno mawili; ‘rununu’ lenye maana ya habari zisizojulikana zilivyofika au uvumi na neno ‘maninga’ la zamani enye maana ya macho
  2. Runinga au televisheni ina faida nyingi. Baadhi yake ni;
   • Kuwa chanzo cha taarifa muhimu
   • Kutufichulia mambo yanayowapata wenzetu katika sehemu nyinginiezo
   • Kutuonyesha harakati za wanasayansi za kujaribu kuvumbua mambo mapya kwenye anga zetu
   • Kutuwasilia au kutuonyesha mambo yanayotokea ulimwengu mzima.
   • Kuwachanzo cha burudan ikatika maisha yetu.
   • Kutuelimisha kuhusu masuala mbalimbali
  3. Ishara za electroniki kutumwa kama mawimbi ya redio na vyombo vinavyojulikana kama setilaiti au kwamatumizi ya kebo ambazo hupitishwa ardhini. Vipindi au picha tuzionazo hutokana na kubadilishwa kwa setilaiti kwai shara hizo na kuwa sauti na picha zinazoambatana na sautihizo.
  4. Kuna wataalamu wanaohusika na udhibiti wa mwangaza, waelezakaji wa wanaosoma kuhusu muda uliopo au uliobaki, wanaozidhibiti kamera zionyeshazo picha za msomaji wa habari.
  5. Msomaji wa habari husisoma habari hizo Kwenye kielekezi-runinga ambacho huwa mbele yake na ambacho huwa na maandishi haya ambayo yamekuzwa kwa kiasi kikubwa.
  6. Michezo maarufu ambayo inayoonyeshwa katika runinga nikadanda, mbiozamagari, masubwi, mieleka n.k.
 2. MATUMIZI YA LUGHA
  1. Tuli-ufizi, kaka laini, meno
   Sogezi –midomo, ulimi
  2. Wakati wa kutamka irabu, hewa haizuiliwi kwenye mkondo wa hewa ilhali konsonanti zitamkwapo, hewa huzuiliwa na alaza kutamka.
  3.  
   1. Vipasuo - |p| |m|
   2. Nazali - |n| |ny| |ng’|
  4.  
   1. Mkusanyiko wa vitabu majalida yenye mada tofauti tofauti
   2. Taifa, binafsi, nyumbani, shule.
  5.  
   1. vifaru hawa niwakubwa
   2. Vijiti vikubwa vilitumiwa kuwaua nyoka
  6. Bara’bara – njia
    ‘Ba’rabara – shwari
  7. kupanda na kushuka kwa sauti mtu anapozungumza
  8. KKI – ndoo, mbao
   KKKI – chungwa, kunywa
   • Lugha zote ni sawa - hakuna iliyo na hadhi kubwa kuliko nyingine
   • Lugha hukuwa
   • Ligha hubadilika
   • Lugha hufa
  9.  
   1. Hajakuwa akisoma kwa miaka miwil
   2. hatukuimba wala kuvuna mahindi
   3. hajaja
  10.  
   1. Chururu
   2. haulambwi
   3. Adui
  11.  
   • Awali
   • Tamati
  12.  
   1. kitabu hiki changu nilinunuliwa na mama
   2. kijana ambaye alisoma vizuri ametuzwa/aliyesoma
   3. Mtoto aliyepotea niwa Kamau./Mtoto ambaye alipotea niwa Kamau
  13.  
   • Kujua maana ya maneno
   • Kujua namna ya kuyatumia hayo maneno.
   • Kutambua aina ya neno, iwapo ni nomino, kielezi n.k
   • Tahajia au maendelezo
 3. ISIMU JAMII
  1. Ni vile jamii inahusiana na lugha au vile jamii inatumia nakushughulikia lugha katika miktadha mbalimbali
  2.  
   • tabaka
   • umri
   • mahali/tukio
   • watumizi wa lugha
   • uhusiano
   • elimu
   • wakati
   • muda/muktadha
   • jinsia
 4. FASIHI
  1. Fasihi simulizi – fasihi ambayo hupitishwa kwa njia ya mdomo
   Fasihi andishi- Fasihi inayozalishwa na hupitishwa kwa maandishi ( kutaja alama  1 x 2 = 2  maelezo 1 x 2 = 2
  2. Fafanua dhima/umuhimu wa fasihi   (alama 7)
   • kuelimisha
   • kuburudisha
   • kuelekeza
   • kukashifu maovu
   • kukuzakipawa cha ubunifu
   • kuhifadhi historia
   • kuajilisha
  3. Tanzu za fasihi andishi
   • riwaya
   • tamthilia
   • ushairi
   • hadithi fupi    4 x 1 (alama 4)
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI Marking Scheme - Form 1 End of Term 1 2019 Examinations.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest