- UFAHAMU (Alama 10)
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata: Alama 5)
Usafi ni jambo la muhimu sana kwa maisha ya binadamu. Ni lazima tukate kucha, kunyoa nywele, kusafisha nguo, kusugua meno, kunawa mikono, kuoga na kufuta kamasi kwa kutumia kitambaa safi. Tukizingatia haya yote tutajiepusha na magonjwa mengi.- Andika mambo matano ambayo ni njia za kuzingatia usafi.
i)
ii)
iii)
iv)
v)
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali (alama 5)
Mwalimu wetu alitufunza kuhusu vyakula vya kiasili. Alitueleza kuwa tukila vyakula kama mihogo, viazi, mahindi, maharagwe, mboga, machungwa na ndizi tutajiepusha na magonjwa yanayosababishwa na kula vyakula ambavyo si vizuri kwa afya zetu.- Mwalimu alifunza kuhusu nini?(alama 1)
- Andika vyakula vinne vilivyotajwa katika kifungu.(alama 4)
- Andika mambo matano ambayo ni njia za kuzingatia usafi.
- SARUFÍ (Alama 15)
- Unda maneno: (Alama 5)
Kwa mfano : za + ma = zama- ha + ma =
- ti + sa =
- go + ti =
- ki + ma
- me + za
- Andika umoja wa maneno haya katika umoja:(Alama 5)
- vichwa
- mikono
- midomo
- masikio
- macho
- Andika maneno haya vizuri:(Alama 5)
- kusi
- tiki
- jima
- auma
- miku
- Unda maneno: (Alama 5)
- KUANDIKA.(Alama 10)
Andika maneno matano utakayosomewa na mwalimu.
MARKING SCHEME
UFAHAMU
- tukate kucha
- kunyoa nywele
- kusafisha nguo
- kusugua meno
- kunawa mikono
Hadithi
- Kuhusu vyakula vya kiasili
-
- mihogo
- viazi
- mahindi
- maharagwe
SARUFI
-
- hama
- tisa
- goti
- kima
- meza
-
- kichwa
- mkono
- mdomo
- sikio
- jicho
-
- siku
- kiti
- maji
- maua
- kumi
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 1 End of Term 3 Set 2 2022.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students