SEHEMU YA : KUSOM KWA UFAHAMU
Soma hadithi ifwatayo kisha ujibu maswali
Mwili wa binadamu huhitaji kutunzwa vyema. Ni lazima tule vyakula bora vya kutulinda na maradhi, kutukuza na kutupa nguvu za kucheza na kufanya kazi. Tule mboga na matunda ili tujikinge na magonjwa, ugali na wali ili tupate nguvu na maziwa, mayai na maharagwe ili tukue.
- Mwili wa binadamu huhitaji? ________
- Andika aina ya matunda nne
- Kuku hutupa ______ (maziwa, mayai)
- Ugali na ____ hutupa nguvu.
- Mboga na matunda zinakinga ______ (mwili, nguvu)
SEHEMU YA NNE: SARUFI
Tumia 'hiki', 'huu' au 'huyu'
- _____ ni moto wetu.
- Mti _____ ni wake.
- Kitanda ____ ni chake.
Andika kwa nambari ama maneno
- Thelathini na mbili ______
- 16 ______
Andika majina ya picha hizi
Andika kwa wingi
- Mtoto yule analia.
- Kiatu changu ni kipya.
Andika kwa herufi ndogo
- UBAO _____
- NYOTA ______
Jaza 'li' au 'fa'
- Mwalimu a ___ beba samaki jana.
- Mimi si____ enda shuleni kesho.
Andika kinyume cha maneno haya
- Cheka _____
- Mnono _____
- Umbo hili huitwa _____
- Ana mabawa maridadi sana _____ (nyuki, kipepeo, mbu)
- Kanusha sentensi hii
Mtoto huyu ni mrefu _______
Kamilisha methali na Kitendawili
- Pole pole ndio _____ (njia, mwendo)
- Nyumba yangu haina mlango ____ (gunia, yai)
Andika vizuri
- ndukusa ______
- mulaka ______
- Haongei, ni ______ (bubu, kiwete)
Chagua jibu sahihi
- Tunatembea _____ mguu. (na, kwa, la)
- Nilikula chakula _____ (tamu, mtamu, kitamu)
SEHEMU YA TANO: KUANDIKA
IMLA
MWONGOZO WA KUSAHIHISHA
- Kutunzwa vyema
- Kupitiwa na mwalimu
- mayai
- wali
- mwili
- huyu
- huu
- hiki
- 32
- kumi na sita
- ufagio
- kikombe
- Watoto wale wanalia
- Viatu vyetu ni vipya
- ubao
- nyota
- li
- ta
- lia
- mwembamba
- pembetatu
- kipepeo
- Mtoto huyu si mrefu
- mwendo
- yai
- sanduku
- mulaka
- bubu
- kwa
- tamu
SEHEMU YA TANO: KUANDIKA IMLA - Mwalimu Kupitia
Download Shuguli za Kiswahili Maswali na Majibu - Grade 2 End Term 3 Exams 2023 Set 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students