Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
tofauti kati ya kipera Cha vitendawili na kile Cha methali
0
votes
1.6k
views
asked
Sep 25, 2022
in
Fasihi
by
0704071XXX
edited
Oct 30, 2023
by
anony mous
tofauti kati ya kipera Cha vitendawili na kile Cha methali
fasihi
Please
log in
or
register
to answer this question.
2
Answers
0
votes
answered
Oct 30, 2023
by
anony mous
Vitendawili huwa na fomyula ya uwasilishaji ilhali methali haina fomyula mahususi.
Vitendawili huwa na fumbo ambalo lazima lifumbuliwe hapo hapo na hadhira ilhali methali fumbo halifumbuliwi papo hapo na huwasilishwa na mwenye kutumia methali.
Vitendawili ni maarufu kwa vijana ilhali methali huwa maarufu miongoni mwa wazee na watu wazima.
Vitendawili hutolewa kwenye kikao maalum ilhali methali si lazima zitengewe vikao maalum.
Vitendawili huwa na hadhira tendi ilhali methali huwa huwa na hadhira tuli.
Vitendawili huwasilishwa kwa majibizano ilhali methali huwasilishwa kwa kauli moja tu na msemaji.
Please
log in
or
register
to add a comment.
0
votes
answered
Nov 12, 2023
by
0718088XXX

Related questions
0
votes
0
answers
tofauti kuu Kati ya tanzu na vipera vya fasihi simulizi
asked
Feb 3, 2022
in
Fasihi
by
josephkiio
fasihi
0
votes
1
answer
Tofauti kuu Kati ya tanzu na vipera vya fasihi simulizi Ni ya kifani dhibitisha
asked
Dec 26, 2021
in
Fasihi
by
Rispermokeiraombati
fasihi
0
votes
0
answers
Linganua methali na vitendawili
asked
Apr 16, 2022
in
Fasihi
by
Aishanyambura
fasihi
0
votes
0
answers
Tofautisha kati ya hadhira hai na hadhira tuli
asked
Apr 16, 2022
in
Fasihi
by
Tashylovesdancy
fasihi
0
votes
0
answers
Tofautisha kati ya hadhira hai na hadhira tuli
asked
Apr 16, 2022
in
Fasihi
by
Tashylovesdancy
fasihi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...