0 votes
3.1k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi moja yenye kiwakilishi cha A-unganifu, kitenzi kishirikishi kipungufu na kijalizo.

1 Answer

0 votes
by
  1. Wa jirani ni mwongo
  2. Ya kufulia si ghali.
  3. La Ujerumani ndilo bora.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...