0 votes
2.1k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Ziunganishe sentensi zifuatazo kwa kiunganishi cha masharti. 

  • Wakulima watapata mazao mazuri. Wakulima watazingatia kilimo cha kisasa

1 Answer

0 votes
by
Wakulima watapata mazao bora ikiwa/iwapo/endapo/kama watazingatia kilimo cha kisasa.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...