0 votes
2.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Tumia neno ‘mpaka’ katika sentensi kama: 

  1. Nomino -
  2. Kihusishi -
  3. Kiunganishi -

1 Answer

0 votes
by
  1. Nomino -Huu ni mpaka wa Kenya na Uganda.
  2. Kihusishi - Nilimsubiri tangu asubuhi mpaka adhuhuri.
  3. Kiunganishi - Alisoma kwa bidii mpaka akafaulu.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...