0 votes
422 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Kwetu kumenyesha mvua usiku kutwa na waongozi wakahairisha mikakati ya kuthibiti mmomonyoko wa udongo. (Sahihisha)

1 Answer

0 votes
by
Mvua imenyesha kwetu usiku kucha na viongozi wakaahirisha mikakati ya kudhibiti mmomonyoko wa udongo.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...