0 votes
542 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Mwanariadha bora alipewa zawadi kisha akaandaliwa karamu katika ikulu. (Andika upya ukigeuza maneno yaliyopigiwa mstari kuwa vitenzi).

1 Answer

0 votes
by
Mwanariadha bora alizawidiwa kisha akakirimiwa katika ikulu.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...