0 votes
4.9k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Bainisha shamirisho na chagizo katika sentensi ifuatayo:

  • Ajuza huyo alijengewa nyumba kwa matofali na mwanawe mara moja.

1 Answer

0 votes
by
  • shamirisho kitondo – ajuza huyo
  • shamirisho kipozi – nyumba
  • shamirisho ala/tumizi – matofali
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...