0 votes
327 views
in Isimu Jamii by
Jadili dhana ya lugha mwiko na umuhimu wake

1 Answer

0 votes
by
edited by

Lugha mwiko ni lugha inayomfunga mtu kuitumia kwa mujibu wa jamii yake au kuzuia matumizi ya maneno au sehemu nyingine za lugha kutokana  na vikwazo vya kijamii. Lugha mwiko pia inasheheni msamiati mahsusi ambao hauruhusiwi kutumiwa kiholela katika jamii.
Mfano ni kama vile;

  • Sehemu nyeti za mwili
  • msamiati wa ngono na kadhalika

Umuhimu

  • Kukuza uhusiano mwema katika jamii.
  • Kuhifadhi maadili na imani za jamii.
  • Kuhifadhi na kuhami mambo muhimu ya jamii yasiathirike na mambo ya kigeni.

Related questions

0 votes
2 answers
0 votes
3 answers
0 votes
1 answer
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...