0 votes
789 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Jamala ni kwa hisani, kaba ni kwa ________ na  _____ni kwa mziwanda.

1 Answer

0 votes
by

Jamala ni kwa hisani, kaba ni kwa bana/binya/gandamiza/ finya/fyanda na kitindamimba/mzuwanda ni kwa mziwanda.

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...