0 votes
4.1k views
in Fasihi by

Eleza maana ya; 

  • Vitanza ndimi.

1 Answer

0 votes
by
Maneno ambayo hutatanisha wakati wa kutamka kwa sababu ya kuwepo kwa sauti zinazofanana/Ni mchezo wa maneno ambapo kuna maana fiche katika huo mchezo. Ni vifungu vya maneno ambavyo humtatiza msemaji kuvitamka kutokana na maneno yanayokaribiana kimaana na kimatamshi.

Related questions

0 votes
1 answer
0 votes
1 answer
0 votes
1 answer
0 votes
1 answer
0 votes
2 answers
asked Aug 14, 2023 in Fasihi by 0720407XXX
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...