0 votes
1.9k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika kinyume cha sentensi hii.  
Mama atazianika nguo jioni baada ya saa chache.

1 Answer

0 votes
by

Mama atazianua nguo asubuhi kabla ya saa nyingi. 

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...