0 votes
1.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Ainisha virai
Yule mvuvi mwenye masharubu amewasili ufuoni sasa.

1 Answer

0 votes
by
yule mvuvi mwenye masharubu- kirai nomino
mwenye masharubu- kirai kivumishi
amewasili ufuoni sasa- kirai kitenzi
ufuoni sasa- kirai kielezi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...