0 votes
674 views
in Chozi la Heri by

"mzee mwenye wake na wana wengi alihosabiwa kuwa mkwasi kwelikweli" 

  1. tambua mbinu mbili za kimtindo katika dondoo hii 
  2. fafanua jinsi maudhui ya utamaduni yalivyojitokeza katika riwaya hii 
  3. jadili jinsi mwandisi alivyotumia mbinu ya uhuishaji katika riwaya

Please log in or register to answer this question.

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...