0 votes
3.5k views
in Chozi la Heri by

"Mwanangu ni vyema kujifunza  kuishi na wenzako bila kujali tofauti za ukoo na nasaba"

  1. eleza muktadha wa kauli hii?
  2. fafanua sifa mbili za msemaji
  3. eleza vile dhuluma mbalimbali zilivyowahini wanadhi haki zako

2 Answers

0 votes
by
Msemaji: mamake Ridhaa

Msemewa: Ridhaa

Mandhari: nyumbani katika msitu wa Heri

Sababu: mamake Ridhaa alimtaka mwanawe kurudi shuleni baada ya wenzake kumkejeli na kumtenga
0 votes
by
B/Make ridhaa
Ni mwenye mlahaka mwema- anaenda shuleni ya ridhaa na kutatua seals na mwalimu 
Ni mfaraguzi anagundua ridhaa haendelei vizuri shuleni
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...