Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
wa kurejelea tamthlia ya 'Kigogo ya Pauline Kea, onyesha jinsi ambavyo viongozi wengi katika nchi za kiafrika wamejawa na tamaa.
0
votes
2.9k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
wa kurejelea tamthlia ya 'Kigogo ya Pauline Kea, onyesha jinsi ambavyo viongozi wengi katika nchi za kiafrika wamejawa na tamaa.
kigogo
tamthilia
fasihi andishi
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
Tamaa ya kupata sanamu/ Majoka anataka Sudi amtengenezee sana
Tamaa ya kupata kodi. Majoka anawatoza kodi wafanyibiashara wa soko la Chapakazi kwa manufaa yao.
Tamaa ya shule zao kufunzwa na walimu waliofuzu vyuoni. Majoka anamrai Ashua afunze katika shule zake.
Tamaa ya kuungwa. Majoka anapata uungwaji mkono kupitia watu kama Ngurumo, Asiya na Boza -
Anawapa hongo ili wamuunge mkono.
Tamaa ya kupewa sifa lufufu. Kwa mfano Majoka lazima atangazwe katika vyombo vya habari.
Tamaa ya kutafutia wanao wachumba. Majoka anamtaka Tunu aolewe na mwanawe Ngao Jur.
Tamaa ya mapenzi - Majoka ana tamaa ya kupendwa na Ashua.
Tamaa ya kujenga nyumba za kifahari. Majoka anatamani kujenga hoteli ya kifahari katika soko la Chapakazi.
Tamaa ya usalama - Majoka ana walinzi wengi.
Starehe na anasa. Majoka ana tamaa ya burudani. Anaenda kuogelea katika hoteli ya‘ Majoka and Majoka resort’
Tamaa ya viongozi kurithisha jamaa zao uongozi.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
0
answers
jamii imemkandamiza mwananke.dhibitisha ukweli wa kauli hi kwa kurejelea tamthlia ya kigogo
asked
Jan 18, 2022
in
Kigogo
by
jenie
kigogo
0
votes
0
answers
jamii imemkandamiza mwananke.dhibitisha ukweli wa kauli hi kwa kurejelea tamthlia ya kigogo
asked
Jan 18, 2022
in
Kigogo
by
jenie
kigogo
0
votes
0
answers
"Mataifa mengi ya Afrika yamekumbwa na tatizo la uongozi mbaya. "Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya Kigogo.
asked
Apr 16, 2022
in
Kigogo
by
Kahantara
kigogo
0
votes
0
answers
''Nyamaza wewe! nyinyi ndio mlioturudisha nyuma miaka yote hii'' 1.Eleza muktadha wa dondoo hii 2.Kwa kurejelea hoja saba eleza jinsi msemaji alivyorudishwa nyumaa 3.Eleza umuhimu wa msemaji katika riwaya 4.Eleza toni ya dondoo hii
asked
Apr 11, 2022
in
Kigogo
by
SilusKemboi
kigogo
0
votes
0
answers
"tunaangamia. tunahitaji mtetezi anayeongozwa na hekima sio ubinafsi." Onyesha mchango wa msemaji katika kutetea haki za Wanasagamoyo.
asked
Oct 11, 2021
in
Kigogo
by
KevinYego
kigogo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...