0 votes
11.4k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika sentensi mbili ili kuonyesha maana tofauti za alama ya kibainishi.

1 Answer

0 votes
by
  1. Kuonyesha silabi iliyodondoshwa. 
    Ndu’ zangu tuheshimiane. (pia takwimu)
  2. Wageni hawa wametoka ng’ambo .
  3. Kuonyesha shadda 
  4. Mahasimu hawa wamepatana bar’abara
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...