0 votes
25.9k views
in Isimu Jamii by
Taja sifa tano za sajili ya hotelini.

6 Answers

0 votes
by

  1. Huwa na msamiati maalum kama vile; bei, chenji,chai, soda.
  2. lugha inayotumika si sanifu
  3. Kuna kuchanganya ndimi
  4. Huwa na kauli fupi fupi
  5. Lugha ya kushawishi huenda ikatumika
0 votes
by
1. kuna matumizi ya jazada
2. lugha ya ucheshi au utaani hutumika.
3. matumizi za mbinu za utohozi hutumika,kwamfano; choma,chipsi,kuku.n.k.
4. matumizi ya msimbo .
5. matumizi ya tanakali za sauti,kwamfano;sentensi fupifupi hutumika. 
0 votes
by
Msamiati teule hutumika
Kuna matumizi ya maswali na majibu
Lugha dadisi hutumika
Kuna uchanganyaji ndimi
Kuna kubadili msimbo
0 votes
by
Huwa na sentensi fupi fupi
Hutumia msamiati maalum
Hukiuka kanuni za lugha
Sentensi hujirudiarudia
Hutumia sentensi radidi


0 votes
by
Matumizi ya sentensi fupi  . 
0 votes
by
Utumia lugha ya upole,ucheshi,

Related questions

0 votes
3 answers
0 votes
11 answers
0 votes
0 answers
asked Mar 24 in Isimu Jamii by 0748946XXX
0 votes
2 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...