0 votes
1.6k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
recategorized by

Andika maneno yenye mofimu zifuatazo:        

  1. Umoja (ngeli ya U-I), mzizi, kiishio
  2. Kikanushi, kiambishi ngeli (Kl-VI umoja), mzizi, kauli tendeka, kiishio

1 Answer

0 votes
by
  1. ukate / ulete / ubebe/mkononi/mguuni
    mtini / mtoni / mjini/mchezo
  2. hakiliki, hakiandikiki /hakisomeki
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...