0 votes
721 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
recategorized by

Andika sentensi ifuatayo katika hali ya kukanusha.    
Ngoma hizo zilihifadhiwa ili ziuzwe mjini.

1 Answer

0 votes
by
  1. Ngoma hizo hazikuhifadhiwa (ili) ziuzwe mjini.
     
  2. Ngoma hizo hazikuhifadhiwa (ili) zisiuzwe mjini.
     
  3. Ngoma hizo zilihifadhiwa ili zisiuzwe mjini.
     
  4. Ngoma hizo hazikuhifadhiwa wala kuuzwa mjini
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...