0 votes
2.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Ainisha viambishi katika sentensi hii.

  1. Mlipewa

1 Answer

0 votes
by
  1. M – kiambishi awali cha nafsi(pili – umoja)
  2. li – kambishi awali cha wakati uliopita
  3. p – mzizi
  4. ew – kiishio
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...