0 votes
1.5k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Andika sentensi zifuatazo katika hali ya kutendewa

  1. Paka alimla panya mkubwa jana jioni
  2. Mwalimu mkuu amenisamehe kosa langu

1 Answer

0 votes
by

  1. Paka alimla panya mkubwa jana jioni 
    • Panya mkubwa aliliwa na paka jana jioni
       
  2. Mwalimu mkuu amenisamehe kosa langu 
    • Nimesamehewa na mwalimu mkuu kwa kosa hilo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...