0 votes
474 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Pigia mstari vivumishi katika sentensi ifuatayo kisha uandike aina yake.
Bibi huyu ni mpole uso wake wenye haya huuinamisha kila mara.

1 Answer

0 votes
by

Bibi huyu ni mpole uso wake wenye haya huuinamisha kila mara.
Huyu – Kivumishi kiashiria.
Wake – kivumishi kimilikishi.
Wenye – Kivumishi cha pekee.

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...