0 votes
7.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Onyesha matumizi ya alama zifuatazo za uafikishaji.

  1. Mshazari
  2. Koloni

1 Answer

0 votes
by
  1. Mshazari
    Kuandika tarehe ,
    Kuonyesha au/ama
    Kutenga shilingi na senti.
  2. Koloni –
    Kuorodhesha
    Kutenga saa na dakika.
    Kutenga msemaji na maneno yake katika mazungumzo.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...