0 votes
3.4k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Bainisha mofimu katika kitenzi.
Kilipikika

2 Answers

0 votes
by
KI-           LI -            PIK -       IK -          A
Ngeli        wakati        mzizi      kauli        kiishio
0 votes
by
Ki-kiwakilishi Cha ngeli ya KIVI
Li-wakati uliopita
Pik-mzizi
Ik-kauli
A-kiishio
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...