0 votes
995 views
in Chozi la Heri by
Kumbe hata wewe shemeji Kaizari upo?  Ndio tu hapa na wengi. Weka dondoo kwenye muktadha

1 Answer

0 votes
by
  • Kauli ya kwanza ni ya Ridhaa. Anamwambia Kaizari
  • Kauli ya pili ni jibu la Kaisari kwa Ridhaa.
  • Walikuwa kambi ya wakimbizi.
  • Ridhaa alikuwa amemwona shemeji yake Kaizari alipotoka kutafuta mizizi mwithi kutokana na uhaba wa chakula kambini.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...