Friday, 22 April 2022 07:05

Shuguli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 4 End of Term 1 Exams 2022 Set 1

Share via Whatsapp

MASWALI

  1. Soma kwa sauti (alama 10)
    Mazingira safi ni muhimu kwa afya ya kila kiumbe. Maradhi mengi hutokana na uchafu katika mazingira tunamoishi. Ugonjwa wa Malaria husababishwa na uchafu katika mazingira. Mbu wanaoambukiza malaria huishi kwenye mikebe yenye maji iliyotupwa ovyoovyo.
    Tunapaswa kuyalinda ili yawe safi. Na pia tulale ndani ya chandarua kilichotibiwa.
  2. KUONGEANA KUSIKILIZA
    Tamka maneno yenye silabi tatanishi   (alama 5)
    piga
    pika
    tamu
    damu
    jaja
    chacha
    bata
    pata
    chalijali
  3. Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo
    Mwalimu wetu alituambia kwamba ni vyema mtoto awe na nidhamu.
    Alisema huwa si vyema mtoto. kuwa, mkatili, mlafi na mchokozi. Mtoto mwenye tabia hizi mbaya huchukiwa na watu wote kijijini. Siku moja jirani yetu alitutembelea nyumbani kwetu. Jina lake aliitwa Furaha. Furaha alipenda kucheza sana na kubeba vitu chumbani badala ya kuomba mama yake ruhusa kabla ya kubeba.
    Ilipofika jioni Furaha aliambia mama kuwa anahisi njaa na angetaka ale chakula au anywe uji.. Mama yake alimwambia asubiri ampikie uji. Baada ya muda mfupi Furaha hakusubiri awekewe uji kwa kikombe. Alisimama na akajiwekea uji moto. Alijaribu kuunywa akashindwa. Kwa bahati mbaya uji moto ulimumwagikia nguoni. Alikimbia mbio huku akilia kwa uchungu mwingi.
    1. Taja mambo matatu ambayo mtoto hapaswi kuwa nayo ...............................................
    2. Mwalimu aliwafunza wanafunzi ni vyema kuwa na?  ...............................................
    3. Nani aliyempikia furaha uji?  ...............................................
    4. Mtoto mwenye tabia mbaya  ............................................... na watu wote.
    5. Nani aliyependa kucheza?  ...............................................
    6. Nani hakuomba ruhusa?  ...............................................
  4. Jaza pengo
    1. Rafiki yako darasani anaitwaje?
      ...............................................
    2. Mwalimu mkuu wa shule anaitwaje?
      ...............................................

SARUFI

  1. Andika majina ya picha hizi (alama 5)
    1. shorts aygdad
      ...............................................
    2. eye igauyda
      ...............................................
    3. thigh auydayud
      ...............................................
    4. cut grass yugauyda
      ...............................................
  2. Andika majina ya mavazi ya wanaume pekee
    1. ...............................................
    2. ...............................................
    3. ...............................................
    4. ...............................................
  3. Pigia mstari vitenzi kwenye mti (alama 5)
    tree sygdysad
  4. Andika majina ya maumbo
    1. circle aygdad
      ...............................................
    2. triangle aygdyad
      ...............................................

Andika Insha Kuhusu
SHULE YETU

  • Saule huitwaje?
  • Mwalimu mkuu anaitwaje?
  • Imejengwa na nini?
  • Madarasa ni mangapi?
  • Inwaldau wangapi?

MAJIBU

  1.                    
  2.                            
  3.                                
  4.                
    1.                   
      1. mkatili
      2. mlafi 
      3. mchokozi
    2. nidhamu
    3. mamake 
    4. huchukiwa 
    5. furaha 
    6. furaha 
  5.                  
    1. kaptura
    2. jicho
    3. nyama
    4. kifyekeo
  6.                      
    1. koti
    2. kaptura
    3. vesti 
    4. shati
  7. andika, simama, cheka, anguka, soma 
  8.                  
    1. duara
    2. pembe tatu
Join our whatsapp group for latest updates

Download Shuguli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 4 End of Term 1 Exams 2022 Set 1.


Tap Here to Download for 30/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students