SHUGHULI ZA KISWAHILI
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwanafunzi atasomewa maneno kisha ayaandike kwenye mapengo
Imla (maneno yamo kwa kitabu cha kusahihisha)
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
- ________
Mwanafunzi asome maneno haya kwa sauti
Ganda
Fedheha
Nyimbo
Dodoki
Vuka
N'goa
Majani
Chuma
Ng'ara
Anaringa
Dharau
Bahatisha
Panya
Gharama
Themanini
Mwanafunzi azisome sentensi zifuatazo
- Sherehe Monza thenashara.
- Mbwa wanang'ang'ania nyama ghali.
- Acha kufanya dhambi.
- Alivua nguo halafu akafua.
- Godoro Una doa.
- Jana niliona reli.
Mzazi au mlezi amsomee mwanafunzi taarifa hii kwa sauti mara mbili kisha amwulize maswali
Siku moja msimu uliopita tuliamka asubuhi na mapema kabla ya mapambazuko. Ilikuwa ni siku ya Ijumaa. Mama alitupikia chai kwa kwa viazi vitamu. Familia yote ilienda shambani kuvuna maharagwe. Baada ya kuvuna tuliyaweka kwenye magunia. Punda wetu wawili waliyabeba magunia hayo hadi sokoni. Baba aliyauza na kupata fedha nyingi. Alitununulia matunda na nguo nzuri.
Mwanafunzi ajibu maswali kwa sauti. Weka alama (✓) akipata na (x) akikosa
- Mwandishi na familia yoke walienda kuvuna siku ya
- Taja siku nyingine tatu za Juma
- Mama alipika nini?
- Ni mnyama yupi aliyetajwa kwenya kifungu?
- Watu huenda sokoni kufanya nini? Taja sababu mbili
Jibu maamkizi haya
- Ukifika shuleni asubuhi utamsalimia rafiki yako vipi?
- Ukifika nyumbani jioni utamsalimia baba yako vipi?
- Umeamka vipi?
- Sabalkheri ni salamu za
- "Umeamka vipi?" Ni maamkizi ya wakati gani?
- Habari za asubuhi?
- Taja vifaa hivi vinavyopatikana shuleni hasa darasani
- Zifuatazo ni haki za watoto zitaje
- Taja haki nyingine inayokuhusu
- Je, unasafiria vyombo gani?
- ________hufanya mifupa kuwa na nguvu. (biskuti, maziwa)
- Vyakula vya________ hutupa nguvu mwiti (vitamin, protini)
- ________ni vyakula ambavyo huzuia magonjwa mwilini (wanga, vitamini)
- Mayai ni mfano wa chakula cha________(protini, mboga)
- Nanasi ni mfano wa chakula cha________(wanga, vitamini)
- Linganisha majina katika sehemu na picha
- Unaona kitu gani katika hall hii ya hewa________
- Dalili ya mvua ni nini?
- Chora vitu viwili vinavyopatikana angani
- Kuna hatari gani mtu akichezea barabarani?
- Je, ajali nyingi barabarani husababishwa na nini?
- Uking'atwa na nyuki utahisi________(uchungu, utamu)
- Ukivuka barabara ni vizuri kutumia (kivukomilia, milia)
- Mtu huyu alipopata ajali alifanya nini?
KUANDIKA
- Ambatanisha jina na mchoro
- Andika silabi zinazofaa kwenye mapengo
- ___je ji___ ju
- da de di ___ ___
- ra___ ri___ ___
- ___ ___ gi go gu
- pa pe ___ po pu
- ___ ___ ___ nyo nyu
- Tambua sauti /v/, /f/, /ng'/, /dh/ katika sentensi hizi
- Ng'ombe walivamia shamba la mahindi
- Fahali wawili wanaruka kwa furaha
- Watu wakubwa wasiwadhulumu watoto
- Shangazi alinunua vikombe vipya
- Visu vya dhahabu ni vyema zaidi
- Unganisha silabi hizi iii kuunda maneno kisha uyasome
- Vu + mi + + a =
- Chi + ri + ku =
- Dhi + hi + ri + sha=
- Ki + dhi =
- Fa + ra + gha =
- Panga maneno haya vizuri
- kuchala
- bhumca
- ihca
- cahmo
- ainhreech
- Onyesha konsonati kati ya herufi hizi
- a b ch d e f g gh h i j k l m n o p
- Lugha ya Kiswahili ina irabu au vokali ngapi?
- Jaza mapengo a i
- Onyesha konsonati katika maneno haya
- Chupa:
- Inama:
- Pokea:
- Shamba:
- Mvua:
- Andika maneno yanayoanza kwa herufi hizi
- r
- v
- sh
- ny
- k
- Onyesha silabi za maneno haya
- Thelathini
- Mwalimu
- Niting'atwa
- Msichana
- Shangilia
- Pigia mstari sauti sh na th katika kifungu hiki
Shemeji yake anaitwa shaka. Atitumwa dukani na shilingi elfu moja kununua vitu vya thamana kubwa. Kila mtu atipata theluthi ya vitu hivyo. Alibakisha shilingi themanini. Tulienda nje kutazama thurea ya nyota. Tulihisi baridi. Tukaingia chumbani na kukata kuni kwa shoka. - Jaza mapengo
_____(nyumba, numba) yetu ni kubwa. Mama anafuga_____b) (gombe, ng'ombe) wengi. Wao hula _____c)(majani, chakula). Mtoto wake ni_____(d) (ndama, kagombe). _____(e)( (yeye,sisi) analala zizini. - Tumia maneno haya kujaza mapenao
Ghorofa, Dhahabu, Ghali, Ghala
Sisi tunaishi kwenye nyumba ya _____1. Kuna vitu vya bei_____2. Vingine vimetengenezwa kwa _____3.Hapo kando nyanya ana_____4 anapoweka mazao ya mahindi. - Andika sentensi saba kuhusu picha hii
KUSOMA
- Soma ufahamu kisha ujibu maswall
Shute ya msingi ya Karoti ina wanafunzi wengi. Jumla yci wanafunzi wa darasa to kwanza ni mia moja. Idadi yci wasichana wa darasa la kwanza ni arubaini no wanane. Idodi ya wavulana ni hamsini na wawili. Jumla ya wanafunzi \No darasa La pili ni tisini. Wasichana wa darasa la pili ni themanini. Wanafunzi wa darasa la tutu ni mia moja na saba. Idadi ya wasichana wa darasa La tatu ni sabini na sita. Jumla y0 wanafunzi wa shule ya Karoti ni mia tano.
Maswali- Ambatanisha nambari hizi za A na B kwa usahihi
27 Tisa
13 Thelathini na mbili
9 Ishirini na saba
43 Kumi na tatu
32 Arubaini na tatu - Wanafunzi wa darasa la kwanza ni wangapi?
- Wavulana wa darasa la kwanza ni wangapi?
- Shule ya karoti ina jumla ya wanafunzi wangapi?
- Idadi ya kitu hiki kwa nambari; Kondoo wanne
- Ambatanisha nambari hizi za A na B kwa usahihi
- Soma hadithi hii kisha ujibu maswali
Hapo zamani za kale watu walitumia njia tofauti za usafiri. Watu wengi watitembea muda mrefu kwa miguu. Wengine walitumia wanyama kwa usafiri wao na mizigo yao. Watu walioishi karibu na mto, bahari na maziwa walitumia dau na mtumbwi. Mbati na kutembea, siku hizi watu wantumia aina mbali za magari, eropieni, baiskeli na pikipiki. Usafiri wa majini; pia umeendelea sana. Siku hizi kuna meti, feri, na manowari. Manowari hutumiwa sans nu majeshi ya wanamaji vitani.
Maswali- Zamani watu walitumia njia ______(tofauti, nzuri)
- Taja njia moja ya usafiri iliyotumiwa zamani______
- Watu walioishi karibu no mito walitumia ______kusafiri.
- Manowari hutumiwa na______
- ______husafiria juu ya reli.
- Soma hadithi hii kisha ujibu maswali
Ni ukweli atama za barabarani ni muhimu kwa watu wote wanaotumia barabara. Wote wanaotembea kwa miguu, wanaoendesha baisketi na madereva wa magari wanafaa kuzingatia alama hizo. Alama ya kivukio cha watoto huwekwa karibu na shule. Ni hatari watoto kucheza barabarani. Alama nyingine ni herufi H ambayo huonyesha hospitali. Dereva hapaswi kupiga honi ovyo ovyo karibu na shute au hospitali. Watu wakifuata sheria na alma za barabarani ajali zitapungua
Maswali- Chora alama go kuonyesha "pindi kulia"
- Taja makundi mawili ya watu wanaotumia
barabarai - Ni hatari watoto kukimbizana barabarani (ndio,la)
- Nani hafai kupiga honi ovyo ovyo
SARUFI
- Jaza mapengo kwa kutumia hill na Qhni bivu.
- Embe______ni bivu
- Madawati______yameharibika.
- Nitayakata majani______
- Yai______limevunjwa na mtoto.
- Pazia______lina rangi nzuri.
- Andika wingi wa sentensi hizi
- Tunda hill
- Chungwa hili
- Gari hili
- Zulia hill zuri
- Kaa hill
- Jaza mapengo kwa kutumia hiki au hivi
- Chumba ______kimeoshwa.
- Vifutio______vitatumika.
- Mtoto atatalia kitanda______
- Vyombo______ni safi.
- Chakula______kitaliwa chote.
- Andika umoja wa sentensi hizi
- Viti hivi.
- Viatu hivi.
- Vitabu hivi.
- Viambaza hivi.
- Vikombe hivi
- Tumia wewe, u,Ii, nyinyi au m kujaza mapengo
- Ni nani a______yerntembelea babu?
- ______unapenda kula wali
- ______ni akina nani?
- Wewe uta______pelekea barua hii.
- Wewe______tasoma kitabu hiki
- ______ni wazuri sana
- Ata______shonea nguo tena.
- M______ cheza uwanjani
- Utaenda shuieni______?
- ______tatandika kitanda chako
- Andika wingi wa sentensi
- Wewe utianguka.:
- Wewe ulisoma:
- Wewe uliandika:
- Wewe uliimba:
- Wewe ulikula:
- Jibu maswati kwa litigo au two
- Mdudu______anauma
- Ng'ombe______wamepelekwa malishoni
- Jogoo______anawika
- ______wanacheza soka.
- ______ni nani?
- Chagua jibu sahihi
- Mtoto______analia sana (hao, huyo)
- Wanyama______ni hatari. (huyo, hao)
- Simba______ananguruma. (huyo, hao)
- ______ni wajomba wetu. (hao, huyo)
- Ni neno gani linatumika kuonyeshea rafiki yako akiwa mbali? ______(hao, huyo).
- Tunga sentensi fupi kwa kutumia maneno haya
- Kula:
- Omba:
- Cheza:
- Ruka:
- Fua:
- Tazama maneno haya kisha uchukue yale yanayoonyesha vitendo na kuweka kapuni.
paka
simama
cheka
kisu
mrefu
keti
cheti
oga
mkubwa
mnene
andika
tembea
lia
mekoni
soma - Tumia herufi kubwa- panapofaa
- maria na mariamu wameenda mombasa
- Kenya ni nchi yetu.
- anaenda nakuru kutembea
- baba anafanya kazi
- James analala
- Kamilisha sentensi kwa kutumia vibaya au vizuri
- Watoto watumie kalamu zao
- Usiimbe
- Mwanafunzi amesoma ______mwalimu akafurahi
- Alicheza______ akaanguka
- Nyumba imejengwa______
MSAMIATI
Jibu maswali yote
- ______inapepea kwenye mlingoni
- Wanafunzi husomea kwenye
- Watu hutumia ______kuandikia
- Mimi huketi kwenye______
- Sisi huenda kwenye______kila ijumaa
- Wazazi wetu hutupeleka______kusoma. (shuleni, shambani)
- Sisi hupata______(chakula bora, chakula kibaya)nyumbani
- Mtoto ana haki ya kupewa______akiwa mgonjwa(matibabu, tabibu)
- Mtoto______(hucheza, hupigana) na watoto wengine
- Tunaishi katika mazingira______(safi,machafu)
- Ni nani huwapikia chakula nyumbani
- Taja watu wawili wa kike katika familia
- ______ni dada wa baba
- ______ni baba ya mzazi wako.
- ______ni dada ya mama
- Taja vyombo vya kusafiri hewani
- Taja vyombo vya kusafiri majini
- Taja vyombo vya kusafiri barabarani
- Unaona alama gani kwenye picha hii______
- Unafaa kufanya nini kabla ya kuvuka barabara?
- Mbona ni vizuri zaidi kuvukia barabara hapa?
- Wewe huvukia barabara wapi?
- Usivuke mto ambao umefurika kwa sababu unaweza______majini.
- Wanyama wa nyumbani huitwa______
- Paka rang nii wanyama hawa wa nyumbani
- Taja hall hizi za hewa
- Hivi ni vyakuta gani?
MAJIBU
Kusikiliza na kuzungumza
- 1. -15: imla kusoma
- Ijumaa
-
- Jumatatu
- Jumanne
- Jumatano
- Alhamisi
- Jumamosi
- Jumapili
- Chai kwa viazi vitamu
- Punda
-
- kuuza bidhaa
- kununua vitu
-
- hajambo?
- habariyako
- hujambo baba?
- Vizuri au vyema
- Asubuhi
- Asubuhi
- Njema au nzuri
-
- dawati
- chaki
- kitabu
- kalarnu
- kifutio
- begi/shanta
-
- haki ya kucheza
- haki ya kupewa jina
- haki ya lishe bora
- haki ya kuishi
-
- meli
- ndege
- pikipiki
- basi
- maziwa
- vitamini
- vitamin
- protini
- vitamini
- Kuambatanisha
- Mvua
- Mawingu
- Jua, mwezi, mawingu, nyota
- Anaweza kupata ajali
- Kutofuata sheria
- Uchungu
- Kivukomilia
- Alivunjika miguu
KUANDIKA
- Ambatanisha
-
- ja, jo
- do, du
- re, ro, ru
- ga, ge
- pi
- nya, nye, nyi
-
- Ng, iv,
- Fa, f
- dh
- vi
- vi
-
- Vumilia
- Chiriku
- Dhihirisha
- Kidhi
- Faragha
-
- Chakula
- Chumba
- Chai
- Choma
- Cherehani
-
- b, ch, d, f, g, gh, h, j, k,l,
- tano
- e, o
-
- Ch, p
- nm
- P, k
- sh, m, b
- m, v
-
- rula
- viazi
- shamba
- nyta- ba
- kiatu
-
- The la thi ni
- Mwa li mu
- Ni li ng'a twa
- m si cha na
- Sha ngi li a
- Sh, sh, sh, th,
th, th, sh, sh,
th, th, sh. -
- Nyumba
- ng'ombe
- nyasi,
- ndama
- yeye
-
- Ghorofa
- Ghali
- dhahabu
- ghala
-
- Huyu ni pund.
- Punda ni mnyama wa nyumbani
- Punda hubeba mizigo mizito
- Punda hula nyasi
- Punda pia hupewa nyasi
- Punda akiwa nigonjwa hupewa dawa
- Watu wengine hupenda kumpiga puncla
KUSOMA
-
- Mia moja
- Hamsini na wawili
- mia tano
- wanne
-
- Tofauti
- Wanyarna, dau, Mtumbwi, Miguu
- dau, mtumbwi
- majeshi
-
- kuchora
-
- wanaotembe kwa miguu
- waendesha baskeli
- madereva wa magari
- ndio
- dereva
SARUFI
-
- hili
- haya
- haya
- hili
- hili
-
- Matunda haya
- Machungwa haya
- Magari haya
- mazulia haya mazuri
- makaa haya
-
- hiki
- hivi
- hiki
- hivi
- hiki
-
- Kiti hiki
- Kiatu h iki
- Kitabu hill
- Kiambaza hiki
- Kikombe hiki
-
- li
- Wewe
- Nyinyi
- m
- u
- Nyinyi
- m
- li
- Wewe
- U
-
- Nyinyi mlianguka
- Nyinyi mlisoma
- Nyinyi mliandika
- Nyinyi mliimba
- Nyinyi mlikula
-
- huyu
- hao
- huyu
- Hao
- Huyu
-
- huyo
- hao
- huyo
- Hao
-
- Kula chakula
- Omba Chakula
- Cheza vizuri
- Ruka juu
- fua nguo
-
- Lia
- Simarna
- oga
- andika
- cheka
- keti
- ternbea
- soma
- paka
-
- Maria na Mariamu wanieenda Mombasa
- Kenya ni nchi yetu
- Anaenda Nakuru kutembea
- Baba anafanya kazi
- James analala
-
- Vizuri
- Vibaya
- Vizuri
- Vibaya
- Vizuri au vibaya
MSAMIATI
- Bendera
- Shule au darasa
- Kalamu
- Dawati
- Gwaride
- Shuleni
- Chakula bora
- Matibabu
- Hucheza
- Machafu
- Mama
-
- dada, mama
- nyanya shangazi
- Shangazi
- Babu
- Halati
-
- Ndege
- Helikopta
-
- Mtumbwi
- dau
- Meli
- Basi, gari
- Kirukio cha umma
- Hakikisha bakuna ma gari
- Magari husimama
- Kivukio cha umma
- Kuzama
- Howa
- Kupaka rangi
-
- Mawingu
- Upepo
- jua
-
- Nanasi
- Sainaki
- Ndizi
- Mkate
- Kabeji
- Viazi au mbatata
Download Shughuli za Kiswahili Homework Activities - CBC Grade 2.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students