READING
Read these words.
table bird shop neck
three desk song bags
orange book grow mother
box glass teacher
Read these sentences
- He is a good boy.
- My sister is a doctor.
- I have given him two red pens.
- Our teacher is tall.
- Mery gave me an apple.
KUSOMA
Soma maneno haya.
binamu amani chura baba
mboga kijana neema mayai
soko Lamu likizo wazazi
kahawa maziwa saba
Soma sentensi hizi.
- Mama alienda sokoni.
- Yeye anapenda kusoma.
- Baba alipenda zawadi.
- Mimi nina macho mawili.
- Nina umri wa miaka sita.