Thursday, 05 May 2022 06:15

Reading/Kusoma Activities Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2022 Set 1

Share via Whatsapp

READING

Read the words

  1. child 
  2. dish 
  3. sheep
  4. girl 
  5.  elephant 
  6. father
  7. boy
  8. banana
  9. before
  10. months

Read the story

Once upon a time there were three little pigs. The first little pig made his house of grass. The second little pig made his house of sticks. the third little pig made his house of bricks.

KUSOMA

Soma maneno

  1. msichana  
  2. shuka 
  3. lala
  4. chafu
  5. kaka 
  6. vikapu 
  7. meno
  8. nyuzi 
  9. mayai 
  10. rafiki

Soma hadithi

Siku moja sheria alianza kuumwa na tumbo alipokuwa darasani. Alipozidi kuumwa akakimbia msalani ambako alianza kuendesha. Alikimbizwa hospitalini na mwalimu ili apate matibabu 

.