SEHEMU YA 1:
SEHEMU YA A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwalimu atamuuliza mwanafunzi maswali yafuatayo, mwanafunzi ayajibu vilivyo
- Hujambo?
(Mwanafunzi ajibu) - Maziwa ina rangi ipi?
(Mwanafuzi ajibu) - Taja wanyama watatu wa porini.
(Mwanafunzi ajibu) - Mwalimu wako wa darasa anaitwa nani?
(Mwanafuzi ajibu) - Chakula tunachokila asubuhi kina jina lipi?
(Mwanafunzi ajibu)
SEHEMU YA 2:
KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti
Nilisikia watu wengi wakiongea nje. Nikatoka kuenda kuangalia. Nilimpata baba na mjomba wakiwa nje ya nyumba. Baba alimkaribisha mjomba sebuleni wakaketi kwa kiti cha sofa. Baada ya muda kidogo mama alikuja. Alimsalimia mjomba kisha akaingia ndani ya jikoni. Huko alitayarisha chai pamoja na mkate. Wakati tunakunywa chai mama alienda dukani kununua mchele. Aliporudi, alipi mchele ukawa wali. Mama pia alipika nyama. Chakula kile kilikuwa kitamu.
Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma - CBC Grade 2 Term 1 Exams 2023 SET 2.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students