MASWALI
UFAHAMU (Alama 10)
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata (alama 5)
Yusuf ni mvulana wa gredi ya pili. Ana dada mmoja na kaka mmoja. Yusuf husoma katika shule ya msingi ya Kaloleni. Yusuf hupenda kuimba.
- Yusuf ni mvulana wa gredi ya......................................(alama 1)
- Yusuf ana dada wangapi?.....................................(alama 1)
- Yusuf husoma katika shule ya msingi ya ..................................... (alama 1)
- Yusuf hupenda kufanya nini? ..................................... (alama 1)
- Kinyume cha neno 'mvulana' ni ..................................... (alama 1)
2.Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.
Sungura na fisi walikuwa marafiki sana. Siku moja sungura alienda shambani kupanda zabibu. Fisi alikula watoto wa sungura kisha akatoroka. Sungura alikasirika sana.
- ...................................na...................................walikuwa marafiki. (Alama 2)
- Sungura alienda shambani kupanda...................................
- Fisi alikula nani?
- Nani alikasirika sana?
SARUFI (alama 15)
1. Andika maneno katika wingi. (alama 5)
- Kitabu .................................
- Mzazi .................................
- Shule .................................
- Yai .................................
- Jicho .................................
2. Andika majina ya picha (Alama 5)
3.Tumia 'huyu' au 'hawa' (Alama 5)
- .................................ni mzazi
- .................................ni kondoo
- .................................ni wasichana
- .................................ni ng'ombe
- .................................ni wakulima
KUANDIKA (Alama 10)
Andika sentensi tano utakazosomewa na mwalimu wako
- ..................................................................
- ..................................................................
- ..................................................................
- ..................................................................
- ..................................................................
MAJIBU
Ufahamu
- ya pili
- 1
- Kaloleni
- kuimba
- msichana
2.
- sungura na fisi
- zabibu
- watoto wa sungura
- sungura
Sarufi
- vitabu
- wazazi
- mashule
- mayai
- macho
2.
- kisu
- ua
- meza
- mpira
- kitabu
3.
- huyu
- hawa
- hawa
- huyu
- hawa
Download Kiswahili Ufahamu Activities Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 1 Opener Exams 2023 SET 6.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students