SEHEMU YA B;
SEHEMU YA 1 :SARUFI
Tumia nyinyi ama wewe
- unajibu maswali .
- mnacheza mpira.
- unasoma kitabu.
- ni mtoto
- mnafugia darasa leo .
Tumia silabi katika jedwali kuunda maneno
mfano ; da ra sa - darasa
wa | m | ba | fu | ti | a |
nzi | za | da | ra | ko | sa |
Andika kwa herufi kubwa
- kalamu
- haki
- dawati
- elimu
Tumia maneno haya kutinga sentensi .
- Bendera
- Mtoto
- Mti
Andika kwa wingi
- mti
- kitabu
- mgeni
- yai
- paka
Andika kinyume
- juu
- usiku
- babu
- safi
- lala
SEHEMU YA 2: KUANDIKA
IMLA
MARKING SCHIME
- Wewe
- Nyinyi
- Wewe
- wewe
- Nyinyi
- KALAMU
- HAKI
- DAWATI
- ELIMU
- Miti
- vitabu
- wageni
- mayai
- paka
- chini
- mchana
- nyanya
- chafu
- amka
Download School Based Assessment Shughuli Za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 2 End Term 1 Exams 2023 SET 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students