SEHEMU YA A:
SEHEMU YA 1:
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
Mwalimu asome mwanafunzi ajibu maswali
Asubuhi na mapema tuliitwa na mama. Anga ilikuwa shwari. Jua lilikuwa limechomoza. Mama akatuambia twende tukapatie ng'ombe nyasi na maji na tufungulie kuku. Mama alitutayarishia kiamsha kinywa. Tulikunywa uji kwa viazi tamu.
- Hali ya anga katika hadithi ilikuwa? _______________________________________
- Jua huchomoza wakati gani? _______________________________________
- Chakula cha asubuhi huitwa? _______________________________________
- Ni wanyama wangapi wametajwa kwa hadithi? _______________________________________
- Ng'ombe hukula _______________________________________
SEHEMU YA 2:
KUSOMA KWA SAUTI
Jina langu ni Nyaganya. Ninasoma katika gredi ya pili. Niko mfupi na mnene. Mimi ninajua kusoma Kiswahili. Mimi hubeba vitabu na kalamu kwenye mkoba.
Mwalimu wangu wa darasa anaitwa Bwana Nyongesa.
Download Kusikiliza, Kuzungumza na Kusoma Questions and Answers - CBC Grade 2 Term 3 Opener Exams 2023 SET 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students