COMPETENCY BASED CURICULUM ASSESSMENT
Shughuli za kiswahili
Jina:...........................................................Shule..........................................................
Jibu maswali yote kwenye nafasi zilizoachwa wazi
IMLA
- _________________________
- _________________________
- _________________________
- _________________________
- _________________________
Weka alama (!), (?) au (.) mwishoni mwa sentensi hizi. - Je, wanafunzi walizuru mbuga gani_________
- Kwa nini unapenda Kiswahili______________
- Mama alininunulia kalamu, kitabu na wino______
Ziandike upya sentensi hizi ukitenganisha maneno - Tuliendashuleni
_______________________________________ - Mamaanapikachakula
_______________________________________ - Sisiniwanafunzi
_______________________________________ - Mkulimaanalimashamba
_______________________________________
Andika sentensi zifuatazo kwa umoja - Wanafunzi walinunua kalamu.
_________________________________________ - Maganda yalitupwa
_________________________________________ - Wageni waliketi
_________________________________________
Tumia vimilikishi ifaavyo kujaza pengo - Kiatu________________kimeharibika (changu, yangu)
- Mwalimu________________ananipenda. (yangu, wangu)
- Chumba____________ ni kizuri. (yetu, chetu)
- Gari___________limeegeshwa. (letu, yetu)
Ambatanisha Jina na picha.
Picha Jina
Ng'ombe-
punda
sungura
Andika vinyume vya maneno vifuatavyo- Lala____________________
- Cheka___________________
- Simama__________________
MARKING SCHEME
IMLA
Mwanafunzi ataandika maneno sahihi kulinagana na yale mwalimu atamwambia
- ?
- ?
- .
- tulienda shuleni
- mama anapika chakula.
- sisi ni wanafunzi
- mkulima analima shamba
- mwanafuzi alinunua kalamu
- ganda lilitupwa
- mgeni aliketi
- kiatu changu kimeharibika
- mwalimu wangu ananipenda
- chumba chetu ni kizuri
- gari letu limeegeshwa
- punda
- sungura
- ng'ombe
(mwanafunzi anafai kulinganisha na mstari) - amka
- lia
- keti
Download Kiswahili Activities - Grade 3 End Term 1 Exam 2021 SET 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students