MASWALI
SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
- Mwaka mmoja uru jumla ya miezi taingapi?
- Mwezi wa sita huitwaje?
- Tuko katika mwezi gani sasa?
- Je, ulizaliwa katika mwezi upi?
- Kati ya Oktoba na Disemba kuna mwezi gani?
SEHEMU YA 2: KUSOMA
Zoezi la 1: Kusoma kwa sauti.
Soma hadithi hii kwa sauti.
Uwanja wa shule yetu ulijaa umati mkubwa wa watu. Watu hao walikuja kujionea mashindano ya riadha. Timu ya shule yetu iliitwa Nyota nayo timu pinzani iliitwa Mwezi.
Zoezi la 2: Kusoma kwa ufahamu
Soma hadithi hii na ujibu maswali
Shughuli zilikuwa nyingi katika soko la Sokonioko. Mama wa Timami alifika sokoni saa tatu asubuhi. Alierda sokoni kurunua matunda aina ya machungwa. Alipokuwa akinunua, aliuweka mkoba wake juu ya kibanda. Alijiunga na ww nunuzi wengine ili anunue matunda yaliyokuwa yameiva vizuri. Baada ya kununua matunda, alitaka kwenda kusaga mahindi ili apate unga.
- Soko lililotajwa katika ufahamu linaitwa soko la .................................................
- Mama wa Timami alifika sokoni saa .................................................
- Mama wa Timami aliuweka mkoba wake juu ya .................................................
- Matunda yaliyokuwa yanunuliwe yalikuwa .................................................
- Baada ya kusaga mahindi, mama wa Timami alipata
SEHEMU YA 3: SARUFI
Akifisha sentensi hizi kwa kutumia kikomo.
- Wenye magari mapya ni hawa
- Shule ziko karibu kufungwa
- Uchaguzi mkuu unakaribia
Andika sentensi hizi katika nafsi ya tatu.
- Ukiandika vizuri utatuzwa. .................................................
- Tutamsaidia kubeba mizigo. .................................................
- Nitayalinda mazingira vyema. .................................................
- Mtafua nguo zenu. .................................................
Tumia -ako au -enu ipasavyo.
- Mikono .................................................nyote inapendeza.
- Mzazi.................................................wewe ndiye yule pale.
- Kichwa.................................................kinavuja damu.
SEHEMU YA 4: KUANDIKA
Andika sentensi zifuatazo kwa hati nadhifu.
- Kijiji cha Songambele kilikuwa na kiangazi
................................................. - Jua liliwaka na joto likawa jingi.
................................................. - Mimea yote ilikauka kaukau.
................................................. - Kijiji kizima kilipatwa na njaa.
................................................. - Wanyama kama Ng'ombe na mbuzi wakafa.
.................................................
Majibu
- kumi na mbili
- Juni
- Septemba
- Novemba
- Sokomoko
- saa tatu asubuhi
- kibanda
- machungwa
- unga
- Wenye magari mapya ni hawa.
- Shule ziko karibu kufungwa.
- Uchaguzi mkuu unakaribia.
- Akiandika vizuri atatuzwa.
- Watamsadia kubeba mizigo.
- Atayalinda mazingira vyema.
- Watafua nguo zao.
- yenu
- wako
- chako
- Mwanafunzi aweze kunakili na kubandika sentensi kutoka swali la 26-30 kwa uzuri
Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - CBC Grade 3 End Term 2 Exams 2022 SET 2.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students