0 votes
816 views
in Chozi la Heri by
Lakini itakuwaje historical injustice nawe Ridhaa hapo ulipo sicho kito. Eleza muktadha wa dondoo hili 

1 Answer

0 votes
by
Maneno ya Ridhaa 
Alikuwa anazungumza na nafsi yake
Ako katika ganjo ya jumba lake
Hi Nicole baada ya kukumbuka mazungumzo yake na Tila
Rejelea sura ya Kwanza

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...