Nimeamua kufuata ushauri wa mwalimu.....Elimu kama nyenzo ya kuniwezesha kuleta mabadiliko katika jamii.
(a) Eleza muktadha wa dondoo hii.(alama 4)
(b) eleza umuhimu wa mwalimu anayerejelewa hapo.(alama 6)
(c) Huku ukirejelea riwaya thibitisha kauli hii.(alama 10)