0 votes
1.2k views
in Chozi la Heri by
"Umeipa mashizi familia hii.......kwa kufuata utashi wa moyo wako."
(a eleza muktadha wa dondoo hii. (alama 4)
(b) taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hii.
(c) onyesha sifa nne za mrejelewa.(alama 4)
(d) eleza matukio yaliyomkumba mrejelewa hadi hatima yake kwa kufuata utashi wa moyowe.

3 Answers

0 votes
by
Sisi sote
0 votes
by
Maneno ya Kairu
0 votes
by
Maneno ya babake zohali,baada ya zohali kupata mimba akiwa bado shuleni

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...