0 votes
1.0k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Nini maana ya viwakilishi?

6 Answers

0 votes
by
Viwakilishi vya Nomino ni maneno yanayotumika badala ya nomino. Kiwakilishi hakiwezi kuambatanishwa na nomino inayorejelewa.
0 votes
by
Fasihi

0 votes
by
Meno linalotumiwa badala ya nomono

0 votes
by
- majibu yaliyo pewa si ya ukweli.
- jibu ni viwakilishi ni neno linalotumika kuzungumzia nomino bila kuitaja nomino enyewe.
kwa mfano;huyu anapenda sana kulalamika.
0 votes
by
Kiwakilishi huwa inatusaidia kuangalia vitu
0 votes
by
Maneno yanayotumika badala ya nomino
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...