Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Jadili kwa hoja nane suala la ukoloni mambo leo lilivyoshugulikiwa katika riwaya ya Chozi la Heri
0
votes
3.3k
views
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
edited
Jul 5, 2021
by
majendadmin
Jadili kwa hoja nane suala la ukoloni mambo leo lilivyoshugulikiwa katika riwaya ya Chozi la Heri
riwaya
fasihi
chozi la heri
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 2, 2021
by
anonymous
Watoto wa walowezi wa kikoloni kumiliki mashamba yaliyomilikiwa na familia zao-shamba la Tengenea,wazungu wanamiliki mashamba ya michai na mibuni pamoja na mashirika ya utengenezaji wa mazao ya mimea nchini.
Baadhi wa Wahafidhina wanamiliki mashamba huku Waafrika wengine wakiwa maskwota au wafanyikazi-Kangata anafanya kazi na kuishi katika shamba la Kiriri.Watoto wa Kangata hata wanajitambulisha kwa jina la Kangata.
Wahafidhina inaendeleza umilikinafsi wa ardhi ulioanzishwa na mzungu.
Wageni kuamua kitakachokuzwa Wahafidhina.
Unyonyaji-wenyeji kukuza zao na kuwapa wageni kuwasagia huku wakiwauzia kwa bei ghali.
Mifumo kandamizi ya utawala- uongozi unatuma vyombo vya dola kudhibiti upinzani
Utegemezi. Wanahafidhina wanawategemea washiria wa kimaendeleo wakati mikasa inapotokea. Kudhibitiwa na malengo ya kimataifa- Tila anamwambia Ridhaa kwamba wangependa kufikia Malengo ya Kimilenia. Haya ni matakwa ya kimataifa ambayo nchi hujifunga kutimiza.
Kampuni za kigeni kuchimbua madini katika sehemu za mashambani na fedha kuwaendea hao hao wageni. Raia wanaoajiriwa kuchimbua madini kulipwa mshahara duni.Tila analalamikia haya.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
0
answers
Jadili mambo yaliyofuatilia kutawazwa kwa Musumbi katika riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 19, 2021
in
Chozi la Heri
by
Hopekendi
chozi la heri
muktadha wa dondoo
0
votes
1
answer
Tathmini umuhimu wa mbinu zifuatazo katika kuijenga riwaya ya Chozi la Heri : Barua
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
chozi la heri
riwaya
0
votes
1
answer
Tathmini umuhimu wa mbinu zifuatazo katika kuijenga riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
riwaya
chozi la heri
0
votes
1
answer
maovu yametamalaki katika jamii ya chozi la heri tetea kauli kwa kutilea hoja ishirini
asked
Apr 27, 2023
in
Chozi la Heri
by
0745237XXX
chozi la heri
0
votes
0
answers
"Dina kazi ya maana wala kisomo".weka dondoo hii katika muktadha wake 2,fafanua umuhimu wa elimu katika riwaya hii 3,kwa mujibu wa riwaya ya chozi la heri fafanua changamoto zinozokumbuka elimu
asked
Jul 20, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(560)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(261)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(433)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...