Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Fafanua nadharia zozote mbili zinazoeleza kuhusu chimbuko la lugha ya Kiswahili.
0
votes
19.5k
views
asked
Jul 5, 2021
in
Sarufi na Matumizi ya Lugha
by
anony mous
Fafanua nadharia zozote mbili zinazoeleza kuhusu chimbuko la lugha ya Kiswahili.
isimu jamii
lugha ya kiswahili
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 5, 2021
by
anony mous
Kiswahili ni lugha ya Kiarabu- wageni wa mwanzo wa pwani ya Afrika Mashariki walikuwa ni waarabu ambao waliwaoa wanawake wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki. Wazawa wa ndoa hii walizungumza lugha iliyokuwa na msamiati wa kiarabu na hivyo baadhi ya wachunguzi wa lugha wakahusisha asili ya Kiswahili na Uarabuni.
Kiswahili ni lugha mseto- Kutokana na maingiliano ya wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki waliozungumza Kiswahili na wageni kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni, lugha ya wenyeji iliweza kukopa msamiati wa wageni hao mbalimbali na hivyo baadhi ya wachunguzi wa lugha wakadai kuwa Kiswahili ni lugha mseto.
Kiswahili ni lugha ya kibantu- Hii ndiyo nadharia inayoelekea kuwa ya ukweli. Hii ni kwa sababu uchunguzi wa kiisimu uliofanywa na baadhi ya wanisimu umethibitisha kuwa upo mshabaha mkubwa baina ya majina ya lugha ya Kiswahili na yale ya lugha nyingi za kibantu. Aidha utaratibu wa kupanga nomino katika makundi ya ngeli zake hufafana na ule unaotumiwa na lugha nyingi za kibantu.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
0
answers
eleza mitazamo kuhusu chimbuko la kiswahili
asked
Apr 21, 2022
in
Isimu Jamii
by
laticia
isimu jamii
0
votes
1
answer
Maenezi ya Kiswahili Afrika mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano
asked
Aug 16, 2021
in
Isimu Jamii
by
anonymous
isimu jamii
changamoto za uenezi wa lugha ya kiswahili
0
votes
3
answers
changamoto zinazikumba kujua Kwa lugha ya Kiswahili
asked
Apr 30, 2023
in
Isimu Jamii
by
0704070XXX
isimu jamii
0
votes
6
answers
bainisha changamoto tani zinazoikabili lugha ya kiswahili kama somo katika shule za upili nchini kenya
asked
Apr 5, 2022
in
Isimu Jamii
by
bladifakin
isimu jamii
0
votes
1
answer
sababu zinazochangia kuenea kwa lugha ya kiswahili barani Africa
asked
Oct 9, 2021
in
Isimu Jamii
by
annbrendah
isimu jamii
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...